Filamu aliyoigiza Wema Sepetu kama mhusika mkuu iliyopewa jina la Madame (Our Own Crazy Bosy Lady) iliyotayarishwa na kampuni ya Simulizi African Entertainment itaingia sokoni leo (March 27).
Filamu hiyo imewasusisha waigizaji wengine kama Simon Mwapagata aka Rado, Maulid Ally, Sudi Ally na Deogratius Shija. Madame itasambwazwa na kampuni ya Steps Entertainment.
Post a Comment