skip to main |
skip to sidebar
HEMEDI MADEMU SASA MWISHO,AMUWEKA ADHARANI MKEWE MTARAJ...WAKILA BATA..
Siku
chache zilizopita tulikupa story kuhusu msanii Hemed Phd kuachana na
ubachela na kuamua kuanz kufanya maandalizi ya ndoa na mchumba wake.
Kama hukuisoma hyo story bofya>>>hapa<<<, Sasa
katika harakati zetu za kutafuta ukweli tukapata fununu kua mrembo huyu
hapo chini ndo atakuja kua shemu wetu kwa Hemed. Vyanzo vyetu vilieleza
kua ni kweli maandalizi ya ndoa yanaenda poa kabisa. Na siku si nyingi
watu watakula wali.
Post a Comment