skip to main |
skip to sidebar
PICHA ZA KIGODORO CHA KANGA MOJA.....NI BALAAAA.
Kila siku ya jumatano New maisha club imekuwa na utaratibu mpya kabisa
waburudani ya kipekee kabisa, baada ya ile ya xtreme deejazy yakupiga
disco na drums ambayo ndio burudani namba moja kwa sasa tanzania, sasa
inakuletea bunyero bunyero za kibao kata kiukweli hii ndio club pekee
inayofanya mabadiliko ya club na hata burudani zake kila mwaka.aidia hii
ya kibao kata walioipa jina ya bunyero bunyero za kibao kata imekuwa na
wapenzi wengi sana na imekubalika kwa haraka sana hivyo mpaka baadhi ya
sehemu zingine za kumbi za burudani nao kuonekana kuanza kuiga kutaka
na kufanya kitu kama icho. ongera sana team marketing ya new maisha club
kwa kubuni vitu vya kwetu kikwetu kwetu. ebu angalia video kidogo hapo
kwa yalioili jumatano iliyopita halafu jumatano hii usikose
maishani...kama kawa muendeleze wa picha la kutisha...
TEAM CRAYZE nao walikuwepo full kujidabua
Rihama ally nae alikuwepo pia alitoa yake ya moyoni kuhusu wote
wanaodhania kwamba kibao kata ni uhuni, aliwapa ukweli na kuwaambia kuwa
huu ndo mziki wetu na kiuno ndio hasili yetu,wacheni tukatikee
Mkuu wa itifaki gilla akimwambia kijana wake wa kazi aongeze mike
ingine kwa wapiga kibao kata hili tusikie vizuri maneno ya shombo.
Mtoto fetty akiwa na mama naa pamoja na nai nai wakifatilia kwa makini kibao bunyero bunyero za kibao kata.
Mchina alijulikana kwa jina moja la dong akijidapua na kabinti special kwenye kibao kata......
watu wakijidabua kwenye kibao kata
Boke akifatilia kwa makini kibao kata
Queen happy akiwa na miss mtwara zuhura a.k.a zou kamili gado.jumatano iliyopita new maisha club
Siku hiyo nzima mziki ni taarabu,mduara,arabik na miziki ya kimwambao tu
Mabinti wakifatilia kwa makini kibao kata
Hamza balla nae alikuwepo....
zuhura gora anapenda sana kuchati zou kamiligado hapo itakuwa anaita mashoga zake waje wakionee bunyero bunyero.
Lady naa a.k.a mutoto mlito yeye ndio alipewa nafasi yakuongelea maana ya jina la bunyero bunyero
Post a Comment