HII KALI...LINAH AMTAJA MWANAUME ANAYE TARAJIA KUFUNGA NAYE NDOA....MUONE MUME MTARAJIWA WA LINAH HAPA

Tuesday, March 18, 20140 comments


Stori: Paparazi Wetu
BAADA ya minong’ono ya muda mrefu, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ ameweka wazi kuwa anatoka kimapenzi na Nagari Kombo.
Estelina Sanga ‘Linah’ katika pozi la kimahaba na mpenzi wake Nagari Kombo.
Akiteta na kona hii, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Linah alisema: “Ni kweli kwa sasa natoka na Kombo, ndiye mwanaume wangu, sina haja ya kuficha. Mimi na Amini imebaki stori tu, hata yeye ana mtu wake.”
Staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’
Kombo alijipatia umaarufu siku za nyuma baada ya kuingia uwanjani na kumkumbatia mchezaji Ricardo Kaka wa Timu ya Taifa ya Brazil iliyokuwa ikichuana na Taifa Stars katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved