Attention!
Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity . Jina hili linafanana na
album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination ya
nickname yake ya Ye na jina la Jesus. Tayari kuna website kwa ajili ya
waumini inayoitwa Yeezanity.com . Wafuasi wa dini hiyo wanatumia
sanamu linalofanana kabisa na uso wa Kanye West. Founder wa dini hii
alisema ““Kanye West is the most honest person in our culture.He has
the highest moral standards and highest integrity. He is the most
creative person. And as it’s typical with creative people, he gets a
lot of flack from the lower minded masses. It’s not even that they
don’t like him, it’s that they don’t know what he’s doing because the
press gives it this negative spin all the time”
Ukitaka kujiunga na dini hiini rahisi sana.Unachotakiwa kufanya ni kuwatumia email yenye picha isiyokutambulisha ukiwa umeshika karatasi lililoandikwa ‘I Believe In Yeezus’.
Post a Comment