Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The
people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha
ikiwa na maneno haya chini.
"Natangaza
nia ya kugombania ubunge 2015 na kuingia kwenye siasa rasmi 2015,Kama
mwanasiasa kijana nina mengi ya kusaidia Taifa na jamii inayotuzunguka
yenye vijana wengi,i want to inspire and motivate and i want my voice to
be heard,i want to speak up and there’s no turning back,God is Good,i
need all strength and i got the big support in this from my close
friend,solidarity madaraka kwa umma."
Huo ndiyo ujumbe uliosomeka kwa Diva ingawa bado hajaweka wazi jimbo
atakalogombea,Kama atafanikiwa kuingia bungeni Diva atakua kwenye list
ya miongoni mwa watangazaji na vijana walioingia kwenye siasa wakiwa na
umri mdogo
Post a Comment