Mwasiti Almas.
Alisema alijitunza sana akiwa shule ya
msingi, akaendelea hivyo hadi alipomaliza masomo ya sekondari ndipo
alipolegeza uzi na kujikuta ameanza kuvunja amri ya sita na kujua
thamani ya mwanaume.
“Nilikuwa muoga sana, tangu shule ya msingi hadi sekondari sikuweza kabisa kufanya mambo ya kikubwa,” alisema.
“Nilikuwa muoga sana, tangu shule ya msingi hadi sekondari sikuweza kabisa kufanya mambo ya kikubwa,” alisema.
Akizungumza na Weekly Star Exclusive,
Mwasiti alifungukia umri wake ambapo alikiri ‘eji’ imeenda lakini suala
la kuolewa ataendelea kusubiri hadi muda muafaka utakapofika.
“Kuhusu umri kwa sasa nipo katikati ya
25 hadi 30, umri umeenda kidogo siyo mdogo mimi. Nitaolewa tu muda
ukifika, sina haja ya kuharakisha,” alisema Mwasiti.
Japo hakuanisha muda muafaka wa kuolewa,
katika sentensi nyingine Mwasiti alisema anatamani sana kuzaa mwaka
huu kwani amekuwa na hamu ya kuitwa mama.
Mwasiti ambaye juzikati ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina
la Serebuka (audio na video), hivi karibuni alivuta mkoko mpya aina ya
Rav 4 huku akiwa mbioni kukamilisha mjengo wake maeneo ya Mbezi ya
Kimara, jijini Da
Post a Comment