NGOMA NA VIGODORO NDIO CHANZO CHA MGOGORO WA MCHUNGAJI RWAKATARE...SOMA HAPA

Sunday, May 18, 20140 comments


Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoko na Vigodoro na nyinginezo na upigaji
wa wanawake!

In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo (Kigodoro) kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII HAPA CHINI..
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved