
Msanii
Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa
upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni
anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 76.39 ya kura zote
akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.17. Tuzo hizo zitatolewa
Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani.
KUMPIGIA KURA DIAMOND, INGIA HAPA: BET AWARD 2014
Post a Comment