NASUMBULIWA NA TATIZO ZA LA KUPIGA PUNYETO..KWA SIKU NAPIGA MARA 3 HADI 4 MPAKA VIUNGO VYANGU VIMECHUBUKA..NAHITAJI USHAHURI

Sunday, January 19, 20140 comments


Rafiki yangu alinifundisha kujichua ( kupiga pul) , sasa nimeathirika na tatizo hilo nikiwa na umri wa miaka 20 tu. 

Nimeshafanya tendo hilo kwa muda mrefu.Kwa siku huwa napiga tatu mpaka 4  kiasi  kwamba  haata  viungo  vyangu  vimechubuka. 

Nataka kuachana  na tatizo hili. Naomba mnisaidie ikiwa kuna dawa ya kupambana na tatizo hilo maana nimechoka na sihitaji kabisa kuendelea na tabia hiyo.


Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved