GPL imefanikiwa kufika eneo la kituo hicho kujionea na kuzungumza na madereva, abiria, askari wa usalama barabarani na wadau wengine ambapo wamekisifia kituo hicho na kudai ni cha kisasa kwa kuwa kina kamera maalumu kwa ajili ya ulinzi na usalama.
KITUO KIPYA CHA DALADALA CHAANZA KAZI DAR
Thursday, October 23, 20140 comments

Post a Comment