KITUO KIPYA CHA DALADALA CHAANZA KAZI DAR

Thursday, October 23, 20140 comments


Abiria wakipanda daladala.
Askari wa usalaama barabarani wakiwa eneo la kituo.
Baadhi ya abiria wakiwa sehemu ya kupumzikia.
Choo kilichopo eneo la kituo.
Polisi wakiwa nje ya kituo cha polisi.
Moja ya kamera maalumu kwa ajili ya ulinzi wa kituo.

Muonekano wa daladala zikiwa ndani ya kituo hicho kipya.
Sehemu ya kutokea magari.
Kituo kinavyoonekana kwa mbali.
Kituo cha zamani cha Ubungo-Darajani kilivyo kwa sasa baada ya kuhamishiwa kituo kipya.
HATIMAYE zoezi la kuhamishwa kwa kituo cha  daladala zilizokuwa zinaanza na kuishia  eneo la Ubungo, limefanikiwa baada ya leo kuanza rasmi kutumika  kwa kituo kipya cha mabasi hayo  kilichopo nyuma ya Mawasiliano Tower, jijini Dar es Salaam.
GPL imefanikiwa kufika eneo la kituo hicho kujionea na  kuzungumza na madereva, abiria, askari wa usalama barabarani  na wadau wengine ambapo wamekisifia  kituo hicho na kudai ni cha kisasa kwa kuwa kina kamera maalumu kwa ajili ya ulinzi na usalama.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved