'RIHANA'NA 'DRAKE' WANAMAPENZI YA KITOTO......JIONEE MWENYEWE HAPA

Sunday, May 18, 20140 comments

Imeripotiwa kuwa Drake na Rihanna ambao walionekana kurudisha mapenzi yao kwa miezi michache iliyopita, inasemekana wawili hao wamerudi tena likizo ya mapenzi.
drake n riri
Chanzo kimeiambia US Weekly kuwa Riri na Drizzy walikuwa na ugomvi mwingine tana hivi karibuni kutokana na Drake kuwa na mapenzi mengi kwa Rihanna, kilisema chanzo hicho.
Couple hiyo yenye historia ya kuwa On na Off kwa muda mrefu ilianza kuonesha uhai mpya wa mapenzi yao walipokutana Paris, Ufaransa mwezi February, ambapo Riri alihudhuria show ya Drake, na baada ya hapo wakawa wanaonekana pamoja mara kwa mara.

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved