JACK WOLPER AKILI AJAWAI KUACHWA NA MWANAUME NA KUMFANYA ALIE...JE NI KWELI..?SOMA ZAIDI HAPA

Friday, May 16, 20140 comments


 
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa ‘kigumu’, alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi kumlilia mwanaume hata iweje.
 
“Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume, akili yangu yote inaamini katika kutafuta maisha hivyo siwezi kujirahisisha nikamwaga machozi kwa ishu za mapenzi,” alisema Wolper.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved