RIDHIWANI KIKWETE APIGA KAMPENI YAKUSHANGAZA HUKO CHALINZE

Monday, March 24, 20140 comments

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini, Mzee Rajab Seif Kabeilwa ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Mrisho Kikwete ambaye ni babu yake, wakati alipokwenda kumsalimia kijijini kwake, Pongwe Kiona jana Machi 23, 2013.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akizindua shina la Vijana wa CCM wa bodaboda katika kijiji cha Pongwe Kiona, jana Machi 23, 2013.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kifuleta, Kata ya Mbwewe jana Machi 23,2013.Picha na Othman Michuzi.
(Picha na Othman Michuzi)
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved