Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Mkoko wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za kumnadi kumgombea Ubunge jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete ambapo wananchi hao walielezwa kitendo cha kuzuiwa kupiga kura ni sawa na ubakaji wa Demokrasia na CCM itakula sambamba na wabakaji wa Demokrasia.
Katibu wa NEC Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye ambaye pia ndiye Mratibu wa kampeni za mgombea wa
CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akionyesha kadi Chadema iliyorudishwa na
Ndugu Subira Mrisho ambaye alikuwa mhamasishaji wa Chadema katika kijiji
cha Mkoko,pia katika kata ya Msata Katibu Kata wa Chadema amerejea CCM
anaitwa Mrisho Issa pamoja na mwananchama mwingine anayejulikana Kassim
Msakamali wamerejea CCM
Katibu wa CCM mkoa wa
Mtwara Ndugu Shaibu Akwilombe akihutubia wakazi wa kijiji cha Mkoko
kwenye mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM Ndugu Ridhwani Kikwete.
Mtela Mwampamba
akihutubia wakazi wa kijiji cha Mkoko na kuwasihi wananchi hao kutambua
mahusiano ya Tanzania na Chama Cha Mapinduzi.
Diwani wa Kata ya Msata
akiwahutubia wananchi wa kiji cha Mkoko wakati wa kumtano wa kampeni wa
kumnadi mgombea wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete.
Katibu wa CCM Wilaya ya
Kisarawe Ndugu Zena Mgaya akiwa na Shumia Sharif mjumbe wa mkutano mkuu
Taifa kutoka wilaya ya Bagamoyo na pia kiongozi wa kampeni kata ya Msata
wakiwa kwenye mkutano wa kampeni za CCM kijiji cha Mkoko jimbo la
Chalinze.
Wananchi wa kijiji cha
Mkoko wakionyesha picha za mgombea wao wa Ubunge Ndugu Ridhiwani Kikwete
wakati wa mkutano wa kampeni ulofanyika kijjini Mkoko.
Mapokezi ya katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye katika kijiji cha Mkoko.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahtubia wakazi wa kitongoji cha Madesa wakati wa kupiga kampeni za Ubunge.
Katibu wa NEC Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye akiwahtubia wakazi wa kitongoji cha Madesa wakati wa
kupiga kampeni za Ubunge ambapo aliwaambia uongozi si kitu cha
kujaribiwa hivyo wananchi wakapige kura kwenye chama kilichokuwa na
uzoefu wa siasa na maendeleo kwa jumla.
Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kijiji cha Kihangaiko wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete.
Kikundi cha Upendo kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni za CCM
Post a Comment