MOTO MKALI WATEKETEZA NYUMBA ZA POLISI MKOANI TANGA...JIONEE MAHAFA HAYO HAPA CHINI

Sunday, March 16, 20140 comments


 
Nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la Chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha Chumbageni jijini Tanga zikiungua moto. Hahdi sasa chanzo cha moto huo pamoja na athari zake havijajulikana


Askari wa kikosi cha Zimamoto wakiwa kazini
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili katika eneo la tukio
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto huo katika nyumba za polisi Chumbageni,jijini Tanga hapo jana 
Wananchi wakishuhudia na kusaidia vikosi vya zimamoto katika uzimaji moto huo.
Baadhi ya vitu vilivyookolewa katika ajali ya moto.

Picha kwa hisani ya Tanga kunani(TK)
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved