Wananchi wa Jimbo la Kalenga wakiwa kwenye foleni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua mbunge wao leo.
Wasimamizi wa zoezi la upigaji kura wakihakiki taarifa za mpiga kura kwenye kituo cha Shule ya Isakalilo.
Zoezi la upigaji kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Kalenga
linaendelea kwa amani mbali na idadi ndogo wa watu waliojitokeza katika
baadhi ya vituo vya kupigia kura jimboni humo.
Post a Comment