AGNESS MASOGANGE
Naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD "masogange"
naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha
nyingine akichorwa kupitia mtandao huohuo wa instagram huku akijiita "bibi harusi mtarajiwa"
hii
imekuja baada ya Mlimbwende kutoka kenya Victoria Kiman kuachia picha
zake akiwa na tattoo za aina hii mapajani pia. kama hukuwahi kuziona BOFYA HAPA
Hizi ni baadhi ya Picha zake alizoweka katika akaunti yake hiyo ya Instagram
Post a Comment