Ni aibu sana mtu kunywa
pombe mpaka kushindwa kujua kiwango chako cha kusema basi.Unalewaaa mpaka akili
inagota njia ya kwenda kwako unaisahau,mbele huoni unaanguka mpaka kutembea
unashindwa mwisho unabebwa kwa style hii kurudishwa kwako
Kunywa kwa kiasi ili uweze kujimudu kwa style hii wahuni awachelewi kukufanyia vitu vya aibu.....mbayaaa(kwa sauti ya mchungaji Lwakatare
Post a Comment