Mbunge
wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe amefungua mashtaka kwa madai
kwamba anatishiwa maisha kufuatia hekaya inayoitwa "Ripoti ya siri ya
Zitto Kabwe". Mbunge huyo amepost picha yake akiwa makao makuu ya polisi
Dar es Salaam na kuandika maelezo yafuatyo kupitia ukurasa wake wa
facebook:
"Nimetoka makao makuu ya polisi, upelelezi, kuandika statement kuhusu vitisho dhidi yangu kufuatia hekaya inayoitwa "Ripoti ya Siri ya Zitto Kabwe". Chanzo cha hekaya sasa kinabadilishwa kutoka makao makuu ya CHADEMA na kuwa ni usalama wa Taifa au CCM. Wahusika waendelee kuhamisha chanzo lakini wajue watasakwa na kukamatwa na kuburuzwa mahakamani. Nimewashitaki kwa kunitishia maisha. Ninawashitaki kwa kunichafua kwa tuhuma za uongo.
Ninafanya haya kwa lengo la kuhakikisha kuwa siasa za kuzushiana na kusambaza uongo zinakuwa na gharama kubwa.

Post a Comment