Huu ni muonekano mpya wa Vicent Kigosi ambao ni moja ya maandalizi ya movie yake mpya ...
Ni
muonekano ambao kwa kiasi flani umewachefua mashabiki wake
ambao dakika chache baada ya picha hizo kuwekwa walijimwaga
kwa comment ambazo hazikumuunga mkono kwa asilimia zote.
“Je nageukia bongoflava au kuna nini kinakuja?”. Aliadika Ray kwenye moja ya picha zake.