Mwanaume akatwa Uume wake na mwanamke aliyemvamia kwa lengo la Kumbaka...Bofya hapa ujionee

Friday, October 18, 20130 comments



Hii ni stori  fupi  ya  mwanaume  aliyekatwa  uume  wake  na  mwanamke  ambaye  alimwingilia  kwa  lengo  la  kumbaka...

Taarifa  toka  eneo  la  tukio  nchini  Kenya  zinaarifu  kuwa  mbakaji  huyo  alimvamia  mwanamke  huyu  majira  ya  saa  nane  usiku   kwa  kuvunja  dirisha  na  kisha  kuingia  ndani  huku  akiwa  amejihami  kwa  kisu  kikali...

Alipoingia  ndani, alimvaa  mwanamke  huyu  ambaye  ni  mke  wa  mtu (  mumewe  alikuwa  safarini )  na  kuanza  kumkaba  kwa  lengo  la  kufanya  naye  mapenzi  huku  akimtishia  kumchoma  kisu  endapo  atapiga  kelele...

Mwanamke  hakuwa  na  jinsi, ilibidi  akubaliane  naye  ili  kuunusuru  uhai  wake.Wangali  wakiwa  katika  tendo  huku  jamaa  akiwa  amenogewa, yule  mwanamke  alimgeuza kwa  ujasiri  na   kufanikiwa  kuviminya  VIAZI  MVINGO  VYA  MWANAUME...

Baada  ya  kuviminya  viazi  mviringo ( Korodani ), yule  kaka  hakuwa  na  jinsi  na  ndipo  mwanamke  yule  alipoitumia  nafasi  ile  kuikata  MAMBO (Mhugo )  ya  jamaa

Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved