Kuna
ulazima wa kuongeza juhudi katika kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya
mitandao ya kijamii hapa nchini Tanzania. Nchi hii ni moja ya nchi
zinashoshika nafasi ya juu katika matumizi ya mitandao hii ya kijamii,
lakini kuna baadhi ya wadau wanaitumia visivyo fursa hii kwa kufanya
vitu vilivyo kinyume na maadili kila kunapokucha. Tazama picha hizi za
huyu mdada alizozitupia mtandaoni na watu pasi na shaka wanatupia
Comments za eti kumsifia na kumuomba avue na chini waone yaliyomo ndani
yake. Jiulize jamii inaelekea wapi sasa?!
BADO HUJACHELEWA CHUKUA HATUA!!
Post a Comment