Julius
Nyaisanga a.k.a Anko J (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkongwe
Mwenzie,Aboubakar Liongo
HABARI zilizotufikia
kutoka mkoani Morogoro ni kwamba Mtangazaji Mkongwe nchini, Julius
Nyaisangah 'Uncle J' ameaga dunia. Mpaka mauti yanamfika, Marehemu
Nyaisangah alikuwa Mhariri Mtendaji wa Abood Media iliyopo mkoani
Morogoro. Marehemu Julius Nyaisangah (katikati) akiwa katika pozi na Meneja Mkuu wa GPL Abdallah Mrisho (kushoto) |
(RTD) na katika Kituo cha Redio One ambapo alikuwa Mkurugenzi. Mpaka sasa chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika japo marehemu alikuwa akiugua kwa muda mrefu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN! Taarifa zaidi zitawajia baadaye.
Post a Comment