KAMA WEWE NI MLOKOLE KAZI HII INAKUHUSU...NA UPO TAYARI KULIPWA 450,000 KWA MWEZI ....POFYA HAPA

Friday, October 18, 20130 comments


Huduma Ya YEHOVA TONGUE MINISTRY ya MBEZI BEACH, Dar es salaam inatangaza nafasi mbalimbali za kazi za kihuduma kwa vijana wa kikristo waliookoka. 

SIFA ZA WAOMBAJI: 

1. Awe kijana wa kikristo aliye okoka na mwenye hofu kuu ya Mungu. 
2. Elimu ya kuanzia darasa la saba, kidato cha nne hadi cha sita. 
 
3. Awe na wito wa kufanya kazi mbalimbali za kihuduma. 
4. Awe anaabudu katika kanisa lolote la kiroho 

MALIPO : Shilingi ELFU KUMI NA TANO ( Tshs. 15,000/) KWA SIKU. 

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 OKTOBA 2013. Tuandikie barua pepe: ulimiwamungu@gmail.com AU Tupigie 0784406508.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved