Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Anastazian Saro likiingizwa kanisani tayari kwa kuagwa.
Waombolezaji wakiwa katika nyuso za huzuni.
Jeneza lenye mwili wa marehemu baada ya kuiingizwa kanisani.
Mkurugenzi wa kituo cha ITV/Redio One, Joyce Mhavile, na baadhi ya waombolezaji wakilia kwa uchungu.
Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu Anastazia Saro.
Mwili wa marehemu ukiwa ndani ya jeneza wakati wa kuagwa.
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likiingizwa kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea Moshi.
Picha ya marehemu Anastazia Saro enzi za uhai wake.
-----
MWILI wa mama mzazi wa mwandishi na mtangazaji wa kituo cha ITV/Redio
One, Ufoo Peter Joseph Saro, Bi. Anastazia Saro, uliagwa jana jioni
ndani ya kanisa la KKKT Kibwegere, Kibamba, jijini Dar na kuhudhuriwa
na umati mkubwa wa waombolezaji. Mwili wa marehemu ulisafirishwa kwenda
Machame, Moshi kwa ajili ya mazishi
Post a Comment