Jackline Wolper yuko HOI kitandani...Yadaiwa kwamba lile gonjwa HATARI linamtesa

Friday, October 18, 20130 comments



Msanii wa filami nchini  maarufu  kwa  jina  la  Jackline Wolper  mwishoni  mwa  wiki  alijikuta  hoi  kitandani  ambapo  alilazimika  kukimbizwa  hospitali  huku  akiwa  hajitambui....

Mrembo  huyo  ambaye  amejizolea  sifa  nyingi  kutokana  na  filamu  zake  alikuwa  akisumbuliwa  na Malaria, gonjwa  hatari ambalo  limekuwa  likimsumbua  mara  kwa  mara...

Wolper  aliripoti  taarifa  ya   kuumwa  kwake  katika  account  yake  ya  facebook  na  kuweka  wazi kuwa  gonjwa  linalomsumbua  ni  lile  lile   hatari la  Maralia  ambalo  limekuwa  likimsumbua  mara  nyingi...

Kumbukumbu  zinaonyesha  kwamba,  mwaka  2010  aliwahi   kuugua  gonjwa  hilo  na  kulazwa  kisha  akapona.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved