HIVI NDIVYO UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA ULIVYO KUWA....SOMA ZAIDI

Sunday, March 16, 20140 comments

Wananchi wa Jimbo la Kalenga wakiwa kwenye foleni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua mbunge wao leo.
Wananchi wa kijiji cha Mwika wakipiga kura.
Wasimamizi wa zoezi la upigaji kura wakihakiki taarifa za mpiga kura kwenye kituo cha Shule ya Isakalilo.
Wananchi wakiwa kituo cha Shule ya Isakalilo tayari kupiga kura ya kumchagua mbunge wao.
Zoezi la upigaji kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Kalenga linaendelea kwa amani mbali na idadi ndogo wa watu waliojitokeza katika baadhi ya vituo vya kupigia kura jimboni humo.
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved