MASIKITIKO MAKUBWA:MTOTO WA MSEMAJI WA IKULU, SALVATORY RWEYEMAMU AZIKWA LEO

Saturday, May 17, 20140 comments


Askari wakitoa mwili wa marehemu kitika gari.
Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba jeneza la mwenzao.
Brian enzi za uhai wake.
Askari wakitoa heshima kwa kupiga risasi baridi hewani.
Baba na mama wa marehemu Brian.
Jeneza la Brian Rweyemamu likiweka juu ya kaburi kabla ya mazishi.
Katekista Chrisantius Jerome akiendesha ibada ya kumuaga marehemu.
Mh .Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mama Salima Kikwete wakiweka mashada juu ya kaburi la marehemu.
Waziri wa mabo ya ndani akiweka maua katika kumuaga marehemu.
Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis Mwamnyange akiweka ua katika kaburi.
Mkuu wa mko wa Dar, Said Mecki Sadiki  akiweka maua.
Wanajeshi wakitoa salamu za kijeshi.
Umati wa watu waliohudhuria katika msiba huo.
Brigita ambaye ni mchumba wa marehemu Brian akilia kwa uchungu wakati wa kuweka shada kaburini.
Mh.January Makamba akiweka maua.
Mh. Regina Mengi naye alipata nafasi ya kuweka mashada katika kaburi la Brian.
Mh. Ndassa akiwakilisha wabunge kuweka maua.
Wawakilishi wa waandishi wa habari, Muhidin Issa Michuzi na Adamu wakiweka shada kwa niaba ya waandishi wa habari.
Askari wakitoa heshima kwa kupiga risasi baridi hewani.
picha zote na Gabriel ng’sha/GPL
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved