WASOMAJI wa gazeti la Uwazi jijini Dar es
Salaam leo waliendelea kumwagiwa zawadi ambapo kila aliyekutwa nalo
alifaidika katika mpango huo ulioendeshwa sehemu za Kawe, Barabara ya
Morocco, Mabibo, Manzese, Tandale Kwa Mtogole na Magomeni.
(PICHA ZOTEE NA ISSA MNALLY)
Post a Comment