Kama unavojua watu wengi wanapenda kujifeki yani wanajifanya wakishua kumbe kwao paka akilala jikoni baso hakuna kitu ila kwa huyu mdau wetu imekua tofauti anapenda sana kujiweka katika hali ambayo akikaa yeye anafurahi tena na anaishi kwa amani sana
kamera za UDAKU MAGAZINE zimemfatilia kwa muda sana na kujua huyu mwanamke ni mwanamke mmoja muelewa na mzuri na anaweza kuishi katika maisha yoyote yale ya tabu raha ama shida na sio wale wanawake ambao bila maisha mazuri hawaishi
hongera sana dada TATU mungu akupe moyo huo huo wa kujikubali na kuonekana tofauti na wenzako na utafanikiwa sana
Tatu akiwa ameweka pozi nje baada ya kumaliza shughuli zake za nyumbani
Tatu akiwa ameweka pozi nje baada ya kumaliza shughuli zake za nyumbani
Hii ilikua Valentine day ya mwaka 2014 yani so simple anajiandaa kutoka kwa ampendae(sijui kama anae)
hahaha hapa akisubiri moto ukolee aanze kuandaa mahanjumati
hahaha hapa akisubiri moto ukolee aanze kuandaa mahanjumati
Post a Comment