Akiwa
katika mahojiano na na mwandishi wa swahilitz msanii mwenye heshima
kubwa katika kiwanda cha bongo movies Yobnesh Yusuph "Batuli" aliweja
wazi kuwa wasanii wengi wakike ndiyo watumiaju wazuri na ndiyo
wanaingoza kwa uvutaji bangi kuliko wakiume.
Batuli alisema kuwa wasanii wengi wakike wamekuwa wakitumia sana kilevu hicho cha marijuana ama ganga hasa wanapokuwa katika magari yao, nyumbani, wakiwa location na hata wengine hujiiba kwa kujificha katika sehemu zisizoonekana lakini harufu ya mmea hui huwaumbua pindi wanaporejea

"wanawake ndiyo nimekuwa nikiwashuhudia sana
kwasababu mara nyingi nimekuwa nikitembelea katika vyumba vyao wanavuta
sana BANGI hata muda mwingine utawakuta wamejufungia katika magari
wakivuta.
Wengine hujitahidi kujificha lakini harufu ndiyo huwa inawaumbua mara nyingi." alisema Batuli

Post a Comment