Mshare wa njano unaonesha mavi aliyokunya mlevi huyo baada ya kunywa mizinga milwili tu ya konyaji bada ya kupiga mkwara kuwa anaweza kumaliza mizinga mitano.
UKISIKIA watu wanasema pombe si chai, ujue hawatanii. Mzee mmoja aliyefahamika kwa jina la Uledi, mkazi wa Mbagala Machinjioni, eneo lililo jirani na Kambi ya Jeshi, hivi karibuni aliumbuka vibaya, baada ya kufakamia vinywaji vya ofa kwa pupa na kujikuta akijisaidia haja kubwa hadharani.
Kwa mujibu wa shuhuda wetu, Uledi, ambaye ni baba mwenye nyumba maeneo hayo
Post a Comment