Baada ya habari nyingi sana kuzagaa kwenye mitandao kuwa mwanadada Ray C amegeuka bondia na kumpiga kwa knock-out kali mwanadada Norah, hatimaye kupitia mtandao mmoja maafufu wa kijamii tumeweza kupata video ikimuonesha mwanadada Norah akisema kuwa tukio hilo si la kweli na kwamba yeye na Ray C ni mashosti wa kufa mtu na kuwa habari hizo ni za uzushi tuu
NORA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA JUU YA KUPEWA KICHAPO NA RAY C STUDIO..CHEKI VIDEO
Sunday, November 3, 20130 comments
Baada ya habari nyingi sana kuzagaa kwenye mitandao kuwa mwanadada Ray C amegeuka bondia na kumpiga kwa knock-out kali mwanadada Norah, hatimaye kupitia mtandao mmoja maafufu wa kijamii tumeweza kupata video ikimuonesha mwanadada Norah akisema kuwa tukio hilo si la kweli na kwamba yeye na Ray C ni mashosti wa kufa mtu na kuwa habari hizo ni za uzushi tuu
Labels:
skendo za mastaa
Post a Comment