JOHARI APATA BUZI KUTOKA CANADA.... AONDOKA NCHINI Kwenda CANADA...UWOYA AMPA WOSIA....SOMA ZAIDI NEEMA HII

Tuesday, November 12, 20130 comments



Mwanadada Irene Uwoya amefunguka na kuandika ya moyoni kuhusu Johari ambaye amemwita "rafiki yake kipenzi'. Kupitia Instgram yake Irene aka #ireneuwoyaonepieceintownameandika maneno yafuatayo " Yan wewe ni rafiki yangu kipenzi...bahati haiji mara mbili...sasa ukifika Canada usinisahau...maisha ndo hayo...wazungu hawataki uswahili tuliaaa." na kuambatanisha na picha ya rafiki yake kipenzi Johari kama inavyo onekana hapo chini. 
Hi ndo habari ya mujini na tunamtakia Johari aka#mukeyamzungutobe kila la kheri. 


Hayo ndo maneno ya Johari


Zifuatazo ni baadhi ya comments za wadau baada ya kupokea habari hii









 









Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved