Vitendo
vya ukatili wa kijinsia viko vingi na vya aina tofauti tofauti. Kuna
wanawake wengine wanafanyiwa vitendo hivi bila kujua kuwa ni kinyume
cha sheria na taratibu zilizopo. Sikiliza kisa hiki ambacho sisi
tunakiona kama ni sehemu ya ukatili unaofanywa na wanaume wengi kwa
wanawake wao. Bi Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha
Manchali B, Dodoma ni mmoja wa wanawake waliokutwa na mkasa wa
kulazimishwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile
Post a Comment