Akiongea na mpekuzi wetu, Snura alisema kukata mauno kwenye shoo ndiyo silaha yake ya kuwateka mashabiki lakini anashangaa kuona wanaume za watu ndiyo wanaongoza kwa kumtongoza huku wakiahidi kumnunulia magari na wengine nyumba.
“Sipendi kabisa kusikia masuala ya wanaume za watu, Wapo wanaoniahidi gari na wengine nyumba.Labda wangekuwa sio waume za watu ningeweza kufikiria . ,” alisema Snura. TOA MAONI YAKO HAPO CHINI..
Post a Comment