Pamoja hivyo, alikodi bendi ya orchestra iliyotoa burudani kwa kupiga nyimbo kadhaa ukiwemo, Knock You Down wa Keri Hilson ambao naye alishirikishwa pamoja na Ne-Yo.
Baada ya Kim kusema ‘ndio’, Kanye alimvisha pete ya almas yenye thamani ya zaidi ya shilingu bilioni 2 za Kibongo na fataki kupigwa hewani.
“Last night was truly magical!!! I am the luckiest girl in the world. I get to marry my best friend,” alisema Kim.
Post a Comment