HIZI NDIZO PICHA ZA NUSU UTUPU YA KIM KARDASHIAN AMBAYO ZIMEMKWAZA MPENZI WAKE KANYE WEST

Friday, October 18, 20130 comments


          TV star Kim Kardashian ambae ni baby mama wa rapper Kanye West ameingia tena kwenye headlines baada ya picha zake kusambaa akiwa ameziba tu sehemu ndogo ya mwili wake huku akiweka msisitizo kwenye instagram kwamba #Nofilter yani hajaongeza mbwembwe zozote za kiteknolojia kwenye muonekano wa picha.
 
Kanye West alipoiona hiyo post aliiRETWEET na kuandika ‘naelekea home now’ ambapo kwa fans walioziona picha hizi kila mmoja kaandika la kwake ila amepata lawama nyingi za kushindwa kujiheshimu na kutambua kwamba yeye ni Mama wa mtoto mmoja sasa hivi.



Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved