Sasa
katika harakati zetu za kutafuta ukweli tukapata fununu kua mrembo huyu
hapo chini ndo atakuja kua shemu wetu kwa Hemed. Vyanzo vyetu vilieleza
kua ni kweli maandalizi ya ndoa yanaenda poa kabisa. Na siku si nyingi
watu watakula wali.

Powered By Blog Gadgets
Post a Comment