POMBE ZA BURE ZAMUUMBUA,AJINYEA HAPO HAPO BAADA YA KUMALIZA MIZINGA MIWILI YA KONYAGI, ALITAMBA ANAWEZA KUMALIZA MITANO THUBUTU KILICHOMKUTA ANAJUA AIBU...ANGALIA PICHA NYINGI ZA AIBU YA HUYU MZEE

Thursday, January 9, 20140 comments




 Mshare wa njano unaonesha mavi aliyokunya mlevi huyo baada ya kunywa mizinga milwili tu ya konyaji bada ya kupiga mkwara kuwa anaweza kumaliza mizinga mitano.


UKISIKIA watu wanasema pombe si chai, ujue hawatanii. Mzee mmoja aliyefahamika kwa jina la Uledi, mkazi wa Mbagala Machinjioni, eneo lililo jirani na Kambi ya Jeshi, hivi karibuni aliumbuka vibaya, baada ya kufakamia vinywaji vya ofa kwa pupa na kujikuta akijisaidia haja kubwa hadharani.
Kwa mujibu wa shuhuda wetu, Uledi, ambaye ni baba mwenye nyumba maeneo hayo
Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved