KUTOA MIMBA CHANGA KWA MSANII WA BONGO MOVIE "NISHA" NDIO KUMEMPELEKEA UGONJWA AMBAO ULIHUSISHWA NA USHIRIKINA...SOMA ZAIDI

Wednesday, January 1, 20140 comments

SANII nyota wa filamu Tanzania, Salma Jabu maarufu kama Nisha yamemkuta makubwa baada ya habari kuvuja kuwa kumbe sababu ya kuumwa hadi kuzidiwa kitandani, ilitoka na kuchoropoa mimba changa aliyokuwa nayo.
Gazeti la Maskani Bongo lilitonywa na mtu wa karibu wa msanii huyo ambaye yupo ndani ya familia hiyo baada ya kusambaa kwa habari kuwa Nisha aliugua gonjwa la ajabu ghafla katika mitandao ya kijamii na magazeti pendwa.


Share this article :

Post a Comment

 
Copyright © 2011. NDANI YA JAMII - All Rights Reserved